Saturday 2 August 2014

ZIJUE FAIDA ZA PERA KWA AFYA YAKO



Baadhi ya faida za kiafya kwa binadamu ni Kutibu; Kuharisha, Magonjwa ya kuhara damu,tatizo la kupata choo kigumu,Kikohozi,Husaidia kufanya ngozi iwe bora,pia ni tunda zuri kutumika kwa watu wenye kisukari


,Pia kwa wale wanaopenda kupunguza uzito hili tunda litasaidia sana,wenye matatizo ya kuona watapata matokeo ya ajabu kwa kutumia tunda hili kwa sababu lina vitamini A nyingi sana.Pia wenye matatizo ya Fizi kutokwa Damu hapa watakua wamepata muafaka.Pia ni tunda zuri katika kuboresha afya ya ubongo.











No comments:

Post a Comment