Wednesday 13 August 2014

JANGA LA EBOLA:KENYA IPO KWENYE HATARI KUBWA YA KUAMBUKIZWA,WHO WAMEONYA...!!


Shirika la Afya Duniani,WHO limeitaja nchi ya  Kenya kuwa kwenye hatari zaidi ya kuenea  kwa kirusi hatari cha Ebola.Kenya ipo kwenye hatari zaidi kwa sababu ni kitovu kikuu cha usafirishaji,ikihusisha ndege nyingi kutoka ukanda wa Magharibi,Afisa wa WHO alitanabaisha.



Hii ni njia mojawapo ya kujaribu kuzuia maambukizi hasa kwa watumiaji wa vyombo vy usafiri.
KWA HABARI ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment