Sunday 3 August 2014

''JANGA LA EBOLA:WHO WASEMA KIRUSI KINAENEA KWA KASI SANA''

Wafanyakazi wa hospitali wamesambazwa kuwaeleza wananchi namna watakavyojilinda dhidi ya Ebola
''Kasi ya kuenea kwa ugonjwa wa Ebola katika ukanda wa Afrika Magharibi imekuwa ni kubwa kuliko juhudi za kuudhibiti ugonjwa huo'',Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Margaret Chan amesema.
   Akiongea katika mkutano ulioshirikisha viongozi wa  kanda mbalimbali kwamba kushindwa kuzuia Ebola itakua ''JANGA'' hasa kutokana na Vifo.Hata hivyo amesema kirusi hicho,ambacho kimeshapoteza uhai wa watu 728,wa Guinea,Liberia na Sierra Leone tangu mwezi Februari mwaka huu,kinaweza kuzuiwa kama hatua madhubuti zitachukuliwa
KWA HABARI ZAIDI....

No comments:

Post a Comment