Thursday 7 August 2014

"MWANAMKE AKAMATWA KWA JARIBIO LA KUWAUZA WATOTO WAKE..!!!

Mama huyo aliyekuwa akisubiri Ksh 400,000 ndipo alipogundua kwamba wateja wake ni maafisa usalama...!!!

Hii ni ramani kama ilivyoonekana katika Google Map ikionesha mahali tukio lilipotokea
Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 34,aliyekuwa akitaka kuwauza watoto wake kwa Ksh 200,000 kila mmoja.Bahati nzuri raia wema walifanikiwa kutoa taarifa ya udhalimu huo mapema kabla mama huyo hajafanikisha mpango wake.Mama huyo ameeleza sababu inayopelekea kuuza watoto wake ni mahitaji ili kutunza watoto wake 6..
KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA>>>

No comments:

Post a Comment