Sunday 17 August 2014

"LIVERPOOL YAANZA VIZURI,YAMCHAPA SOUTHMPTON 2-1"

Sturridge akishangilia bao alilofunga dakika ya 79,wakati Majogoo walivyokutana na Southmpton.

Goli alilofunga Sturridge katika dakika ya 79 limeithibitishia ushindi timu ya Liverpool ilipokua ikikwaana na Southmpton ambao ni wazi unaweza kuitwa ushindi uliopatikana kwa  ugumu wa hali ya juu.Huku Sterling akifungua pazia kwa kuifungia Liverpool dakika ya 23,bao la Southmpton likipachikwa na  Clyne dakika ya 56.
       KWA HABARI ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment