Thursday 21 August 2014

''LIVERPOOL WAKUBALI ADA YA £16M,KUMSAJILI MTUKUTU BALOTELLI''




















Liverpool imekubaliana na AC milan ili  kumsajili  aliyekua straika wa timu ya Man city,''Super Mario''  kwa ada ya paundi milion 16.Kocha wa liverpool Brendan Rogers amefanya hivyo ili kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.
KWA HABARI ZAIDI>>>

Aidha BR amesema usajili wa straika huyo  utaimarisha safu ya ushambuliaji wa timu hiyo,wakati Liverpool wakijiandaa kukutana na Man city siku ya juma tatu 25/08/2014,na straika huyo ameshawaaga mashabiki wake wa Italy.
KWA HABARI ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment