Saturday, 16 August 2014

''VAN GAAL AKARIBISHWA KWA KIPIGO AKIWA NI BOSS WA MAN U''


Manchester united akiwa nyumbani amekubali kipigo cha 2-1 dhidi ya Swansea.
Goli la kwanza lilifungwa na Ki Sung-yueng mnamo dakika ya 28 kipindi cha kwanza,huku Rooney akisawazisha katika dakika ya 53,Huku Sigurdsson akipigilia msumari wa mwisho dk ya 72.

KWA HABARI ZAIDI>>>

Wednesday, 13 August 2014

JANGA LA EBOLA:KENYA IPO KWENYE HATARI KUBWA YA KUAMBUKIZWA,WHO WAMEONYA...!!


Shirika la Afya Duniani,WHO limeitaja nchi ya  Kenya kuwa kwenye hatari zaidi ya kuenea  kwa kirusi hatari cha Ebola.Kenya ipo kwenye hatari zaidi kwa sababu ni kitovu kikuu cha usafirishaji,ikihusisha ndege nyingi kutoka ukanda wa Magharibi,Afisa wa WHO alitanabaisha.



Hii ni njia mojawapo ya kujaribu kuzuia maambukizi hasa kwa watumiaji wa vyombo vy usafiri.
KWA HABARI ZAIDI>>>

''Pendo''.,Happy birthday to you....!!!

Pendo...!!!,happy birthday to you my friend.God bless you...!!
On this special day,i wish you all the very best,all the joy you can ever have and may you be blessed abundantly today,tomorrow and the days to come..!!,May you have a fantastics birthday anad many more to come and i wish you joy and happiness..!!!,HAPPY BIRTHDAY....!!!



Sunday, 10 August 2014

''AJALI YA NDEGE IRAN YAUA WENGI NCHINI IRAN''

Hivi ndivyo inavyoonekana baada ya ndege kuanguka muda mfupi baada ya kuruka uwanja wa  ndege Mehrabad.
Abiria wote 48 waliokuwapo kwenye ndege hiyo ya Iran wameripotiwa kufa baada ya ndege hiyo karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Tehran,Televisheni ya Taifa imeripoti.Ndege hiyo ilianguka muda mfupi baada tu ya kuruka uwanja wa ndege Mehrabad.Ikiwa chanzo cha ajali kinatajwa kuwa ni kushindwa kwa injini.
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA>>>

Saturday, 9 August 2014

''Lilo Jay Lucas'' Happy Birthday Uncle...!!!

"Lilo Jay Lucas'' your uncle wishes you a Happiest Birthday ever...!!!

 To my favorite uncle - hope your birthday is as wonderful as you are...!!!

Friday, 8 August 2014

WANANCHI WA UGANDA WAKASIRISHWA KUFUATIA MAWAZIRI WAKE KULALA KATIKA MIKUTANO MUHIMU

Baadhi ya wabunge na Mawaziri wakionekana kusinzia kwenye mkutano muhimu kujadili maswala nyeti...!!

Swala la Mawaziri na wabunge nchini Uganda ambao kamera iliwanasa wakiwa wamesinzia kwenye mkutano muhimu limezua mjadala miongoni mwa wananchi wa Uganda,ikionesha wazi kwamba wawakilishi hao wa wananchi hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.Kutoka kampala.....



''Emmanuel Mnyambugi'',uncle wako nakutakia maisha marefu yenye baraka tele

Emmanuel Mnyambugi Happy birthday uncle wangu...
BOFY HAPA UCHUKUE ZAWADI>>>