Baada ya miaka 30 ya njaa iliyokithiri nchini Ethiopia,bado upatikanaji wa maji ni wa mashaka hasa ukizingatia umuhimu weneyewe wa maji kwa binadamu kama usemi maarufu usemao maarufu ''MAJI NI UHAI''.Ikiwa asilimia 52 ya watu wote inapata huduma bora za maji lakini,asilimia 10 pekee ndio waliounganishiwa bomba hadi majumbani mwao.Katika maeneo ya vijijini ni asilimia 1 tu iliyounganishwa na huduma hii muhimu katika maisha ya binadamu..
KWA HABARI ZAIDI>>>