Sunday, 3 August 2014

''Neema Kivava''''The Pool hope all your birthday dreams and wishes come true''

FUNGUA HAPA UPATE ZAWADI ZAKO

MAN U YAUA 3-1 REAL MADRID,YOUNG AKITUPIA 2


Man United wametembeza kichapo hicho mbele ya mashabiki  109,318 walio jitokeza kushuhudia  kushuhudia kipute hicho.Magoli mawili ya Ashley Young na Moja kutoka kwa Javier Hernandez,yanampa Van Gaal ushindi wa nne kwenye ziara ya US.Man U itakutana na Liverpool siku ya jumatatu.
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Liverpool wamchapa AC Milan 2-0,Huku Lambert akikosa Penati

Liverpool imeeendelea  kufanya vizuri  kwa ajili ya maandalizi ya msimu unaotarajia kuanza tarehe 16/08/2014,Joe Allen alipatia Liverpool bao la kwanza katika dakika ya 17,ambapo Suso alifunga goli la ushindi dakika za mwisho.Liverpool watakutana kwenye finali na Manchester United,Miami.

KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

“[Eugenia], hope you have a happy [27th]!,we wish you joy...!!!

I hope that you have the greatest birthday ever from the moment you open your eyes in the morning until they close late at night.
FUNGUA ZAWADI YAKO HAPA

Saturday, 2 August 2014

The pool inakutakia maisha marefu yenye mafanikio HBD 2 Yooouuuu Anneth Harold

FUNGUA ZAWADI YAKO HAPA

The Pool inasema ''Happy birthday dada Grace Mbilinyi,Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio''


ZIJUE FAIDA ZA PERA KWA AFYA YAKO



Baadhi ya faida za kiafya kwa binadamu ni Kutibu; Kuharisha, Magonjwa ya kuhara damu,tatizo la kupata choo kigumu,Kikohozi,Husaidia kufanya ngozi iwe bora,pia ni tunda zuri kutumika kwa watu wenye kisukari


,Pia kwa wale wanaopenda kupunguza uzito hili tunda litasaidia sana,wenye matatizo ya kuona watapata matokeo ya ajabu kwa kutumia tunda hili kwa sababu lina vitamini A nyingi sana.Pia wenye matatizo ya Fizi kutokwa Damu hapa watakua wamepata muafaka.Pia ni tunda zuri katika kuboresha afya ya ubongo.