Sunday, 3 August 2014

TETEMEKO LA ARDHI CHINA LAUA MAMIA JIMBONI Yunnan


Inakadiriwa zaidi ya watu 367 wamefariki huku wengine 1300 wakiwa wamejeruhiwa na tetemeko lenye ukubwa wa Richta 6.1 Kusini-Magharibi mwa China.Television  ya Taifa ya China imesema hili ni tetemeko kubwa kutokea tangu miaka 14 iliyopita.
KWA HABARI ZAIDI>>>>

''Abel Juma'' The pool inakutakia maisha marefu yenye furaha''

''Abel"Celebrate your birthday today,Celebrate being happy Everyday
FUNGUA ZAWADI YAKO>>>>

''JANGA LA EBOLA:WHO WASEMA KIRUSI KINAENEA KWA KASI SANA''

Wafanyakazi wa hospitali wamesambazwa kuwaeleza wananchi namna watakavyojilinda dhidi ya Ebola
''Kasi ya kuenea kwa ugonjwa wa Ebola katika ukanda wa Afrika Magharibi imekuwa ni kubwa kuliko juhudi za kuudhibiti ugonjwa huo'',Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Margaret Chan amesema.
   Akiongea katika mkutano ulioshirikisha viongozi wa  kanda mbalimbali kwamba kushindwa kuzuia Ebola itakua ''JANGA'' hasa kutokana na Vifo.Hata hivyo amesema kirusi hicho,ambacho kimeshapoteza uhai wa watu 728,wa Guinea,Liberia na Sierra Leone tangu mwezi Februari mwaka huu,kinaweza kuzuiwa kama hatua madhubuti zitachukuliwa
KWA HABARI ZAIDI....